tatizo haya maelite mengi yana sura mbaya muonekano wa ovyoo kwel, japo yanakuwa na specs nzuri.Unaua msamiati..ongeza bwana mashine nzuri sana hii
dada nimesema baadhi siyo zote, sister uwe mwelewa.Kwani huyo ni demu hata useme ana sura mbaya, mbona ziko vizuri tu!
View attachment 168253
Kwani muuzaji amekwambia anauza aina zote za elitebook au hiyo aliyoitaja? Je unasemaje kuhusu muonekano wakedada nimesema baadhi siyo zote, sister uwe mwelewa.
tatizo haya maelite mengi yana sura mbaya muonekano wa ovyoo kwel, japo yanakuwa na specs nzuri.
dada nimesema baadhi siyo zote, sister uwe mwelewa.
HP ELITEBOOK 2570P
Intel Core i5 2.6GHZ > HD GRAPHICS KWA WACHEZA GEMU
8GB RAM
500GB HDD
WIRELESS AND BLUETOOTH VIPO
BATTERY 3HRS AND 45MINUTES MAX PERFROMANCE
INAFAA KWA MATUMIZI YOTE NA NI PORTABLE INCH 12.5 HIVYO NI RAHISI KUBEBEKA
BEI 675,000/- PUNGUFU TUNAONGEA NA PIGA 0713218388
hata hiyo ina muonekano wa ovyo pia,Muuzaji anauza Elitebook 2570p, hizo zingine "baadhi" ni zako!
hata hiyo ina muonekano wa ovyo pia,