Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Wakuu habarini.
Nina shida kidogo ya kifedha hivyo nina laptop yangu haiko vizuri kimuonekano, lakini inapiga kazi mwanzo mwisho.
Ndio ninayoitumia hata katika kazi zangu za muziki..naiuza kwa tsh 180000 tu.
Ni dell e6400 ram gb4 haddisk ina gb150.
Ukitaka nakubadilishia nakuwekea 500gb kama utaongeza hela.
nipigie 0627474141 au 0773474141.
Nipo Dar