Computer4Sale Nauza laptop mini kwa Tsh 180,000 tu

Computer4Sale Nauza laptop mini kwa Tsh 180,000 tu

ciyou

Senior Member
Joined
Feb 6, 2023
Posts
125
Reaction score
194
Nina shida na hicho kiasi chap chap kabisa
Pc ina 2gb RAM
Harddisk 300gb


Maongezi yapo kidogo......

Location: Dar es salaam

Ipo vzuri sana
IMG_20221217_111637.jpg
IMG_20221217_111700.jpg


Updates kwa vile nina uhitaji wa pesa ya haraka kama una 120000 ya haraka njoo uchkue mzigo
 
Back
Top Bottom