The last don
JF-Expert Member
- Aug 3, 2011
- 1,053
- 1,232
Yes Boss,inazungumzika.Hii server bei inapungua?
Hii kampuni ilishaacha kutengeneza simu so ikiharibika spare zinatoka wapi.NAUZA Smartphone LG V10.
Sifa za Simu
Used in Good Working conditions.
RAM 4GB
Storage 64GB
Processor Qualcom MSm8992 Snapdragon 808
FingerPrint
Fast Charging
IPS LCD display protected by Corning Gorilla Glass 4
Ni simu ya kibabe mno,camera kaliii with slow motion sensor
Bei ya kutupa inataka
laki mbili cash. Tsh.200,000.
Mawasiliano 0621973591
Dar Es Salaam-Mabibo External.
View attachment 2009299View attachment 2009300
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Chief after market parts zimejaaa kila kona,hivyo shaka ondoa kuhusu spare parts...lakini pia LG wanaendelea kutoa after sales services mpaka 2025.Hii kampuni ilishaacha kutengeneza simu so ikiharibika spare zinatoka wapi.
Ok mkuu. Sikulijua Hilo. Biashara njema.Chief after market parts zimejaaa kila kona,hivyo shaka ondoa kuhusu spare parts...lakini pia LG wanaendelea kutoa after sales services mpaka 2025.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Mambo vipi.Ahsante kwa taarifa...
Duu!Mambo vipi.
Kuna demu mmoja siku hizi anapenda sana (mno) ku-like comments zako.
Ni demu wako? Kwahiyo yule mwenye matako makubwa ni kweli mliachana?
Sema haki ya Mungu tena...Mambo vipi.
Kuna demu mmoja siku hizi anapenda sana (mno) ku-like comments zako.
Ni demu wako? Kwahiyo yule mwenye matako makubwa ni kweli mliachana?