Tyler Durden
Member
- Aug 5, 2021
- 74
- 115
PC ya 6gb RAM kwa 250 kweli?250,000//= Niko moro Niko tayari kuifata dar,km uko tayari 0688456911/0674988680
Masaa mawili Na nusuInakaa na chaji kwa muda gani? Wakati fulani ukiuza kitu ambacho tayari ni used, huna budi kufumba macho na kuuza tu kwa hasara, ili maisha yaendelee.
Maana kuna ule msemo usemao "Kufa Kufaana"