Tayo zeboss
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 467
- 196
Battery inakaa dk 40? ukitaka laki 2 ni pm.
siwezi nikata chukua hyo ela kutokana na mzgo jnc ulivyo! hebu usaminishe kwanza mkuu alafu ndo uongee tena!
Sijadharau mkuu ila nimesema tu kwakuwa ndio pesa nilionayo.ni mzigo mkali.
sawa mkuu ila Kama ungepanda kdg tungefanya biashara.
habari wakuu Nauza laptop yangu aina ya Siemens Processor 1.60 ram 1GB, hard disk 250,cD room
tatizo lake ni battery tu 7bu linakaa dk 40 xo kama uko interested nicheki kwa number hzo 0713943432 npo dar
kwa picha zaidi namuonekano wake halisi njoo whatsap kwa number hzo.
Nimeku pm.
Sio wote tuko huko whatsap!!
Duuuhhhhhhhhh, huu mzigo sijawahi kuuona hata madukani
Laki na nusu nitafute aisee nakugeia chapchap
habari wakuu Nauza laptop yangu aina ya Siemens Processor 1.60 ram 1GB, hard disk 160,cD room
tatizo lake ni battery tu 7bu linakaa dk 40 xo kama uko interested nicheki kwa number hzo 0713943432 npo dar
kwa picha zaidi namuonekano wake halisi njoo whatsap kwa number hzo.