Computer4Sale Nauza laptop yangu mpya kabisa

Computer4Sale Nauza laptop yangu mpya kabisa

tintyeche

Member
Joined
Oct 3, 2021
Posts
9
Reaction score
6
Habari wana jf, nina kipengere nimeona niuze laptop yangu ambayo ni mpya kabisa haina hata mchirizi wala mkwaruzo.

Hp corei7 proc up to 4ghz gen 10 ram 8gb ssd 1tb 15.6' Bei yake ni 1.5Mil

Tunaweza wasiliana pia kwa namba

0679987048 normal calls
IMG_9490.jpg

IMG_9488.jpg

IMG_9485.jpg

IMG_9486.jpg
 
Kwa uzoefu wangu huwezi kupata mteja wa 1.5 JF,wa Laki Tisa utapata
Uko sahihi mkuu , kuanzia 900k kushuka chini mpaka 650k anaweza pata

Mali ikiwa mkononi, afu ukatangaza kabisa unashida utapewa offer za ajabu ajabu
 
Back
Top Bottom