T tintyeche Member Joined Oct 3, 2021 Posts 9 Reaction score 6 Jan 28, 2024 #1 Habari wana jf, nina kipengere nimeona niuze laptop yangu ambayo ni mpya kabisa haina hata mchirizi wala mkwaruzo. Hp corei7 proc up to 4ghz gen 10 ram 8gb ssd 1tb 15.6' Bei yake ni 1.5Mil Tunaweza wasiliana pia kwa namba 0679987048 normal calls
Habari wana jf, nina kipengere nimeona niuze laptop yangu ambayo ni mpya kabisa haina hata mchirizi wala mkwaruzo. Hp corei7 proc up to 4ghz gen 10 ram 8gb ssd 1tb 15.6' Bei yake ni 1.5Mil Tunaweza wasiliana pia kwa namba 0679987048 normal calls
M mwanauvinza JF-Expert Member Joined Jul 24, 2023 Posts 365 Reaction score 1,050 Jan 29, 2024 #2 Kwa uzoefu wangu huwezi kupata mteja wa 1.5 JF,wa Laki Tisa utapata
Vien JF-Expert Member Joined Mar 6, 2020 Posts 6,585 Reaction score 10,363 Jan 31, 2024 #3 mwanauvinza said: Kwa uzoefu wangu huwezi kupata mteja wa 1.5 JF,wa Laki Tisa utapata Click to expand... Uko sahihi mkuu , kuanzia 900k kushuka chini mpaka 650k anaweza pata Mali ikiwa mkononi, afu ukatangaza kabisa unashida utapewa offer za ajabu ajabu
mwanauvinza said: Kwa uzoefu wangu huwezi kupata mteja wa 1.5 JF,wa Laki Tisa utapata Click to expand... Uko sahihi mkuu , kuanzia 900k kushuka chini mpaka 650k anaweza pata Mali ikiwa mkononi, afu ukatangaza kabisa unashida utapewa offer za ajabu ajabu
prince john john JF-Expert Member Joined Aug 31, 2016 Posts 2,184 Reaction score 3,369 Feb 10, 2024 #5 Ipo 300k