Computer4Sale Nauza laptop

Nathd

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2016
Posts
290
Reaction score
210
Nauza laptop aina ya Acer aspire,ina inch 14,inatumia 8.1 window,Intel celeron 2ghz,ina 2GB ram na 500GD HDD
Ni mpya iliyotumika wiki tatu tu,ni nyepesi kubebeka ina uzito mdogo hata kwenye mkoba wa kidada inabebeka tena bila kukuchosha.

Bei ni laki tano tu
Tuwasiliane wa hii namba 0767871819 inapatikana kwa WhatsApp,SMS au hata call
 
Je, ina tatizo lolote??

Kama siyo, kwa nini unaiuza.
 
Intel.ram 2gb we we ulinunua shilingi ngapi na duka gani
 
Hali ngumu sana sasa hvi so chukua laki mbili nakutumia
 
Haijapata mteja mpaka sasa?
Anyway. Naomba kujua kama una risiti uliyonunulia then ntajua what to do coz natafuta computer. Yangu imenigomea na nina kazi nyeti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…