Mrs Gudman
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 613
- 1,297
74.3HDD ni 74gb au 743gb unapatikana WAP?
Ukiwa interested tutaongea usitishwe na bei ya tangazoLaki 6[emoji1]?
Utatoa ngapi?Mkuu bei iko juu punguza
Njoo pmMbili na nusu
Hapana mkuu ndogo sana, pc bado mpya kabisaMbili na nusu
Nime ku pmHabari zenu wana Jf
Nauza laptop yenye specification zifuatazo
Window Edition :Window 7 Professional copyright @ 2009
Processor :Intel(R)
Core (TM) i5-2520M
CPU😡2.50GHz
RAM:4.00GB
System Type :64-bit Operating system
Hard Disk:74.3GB
BEI 500k
Karibuni sana
Kwa miaka ya hivi karibuni hakuna kiwanda kinachotengeneza pc yenye HD 74 labda kama uliitengeza mwenyeweHapana mkuu ndogo sana, pc bado mpya kabisa
Labda nimekosea kusoma, hard disc unasomea wapi gb zake??Kwa miaka ya hivi karibuni hakuna kiwanda kinachotengeneza pc yenye HD 74 labda kama uliitengeza mwenyewe
Ukifungua click my Computer utaona vilivyomo ndani na size yakeLabda nimekosea kusoma, hard disc unasomea wapi gb zake??
Nielimishe pls
74.3