Hizi ni refurbished Clean as NewReceipt yake ipo ni ya mwaka Gani kutengenezwa
Elezea kwa Swahili nielewe vizuri zaidirefurbished
Refurbished Laptops ni laptops ambazo zimetoka kiwandani na condition nzuri bila boxElezea kwa Swahili nielewe vizuri zaidi
Refurbished Laptops ni laptops ambazo zimetoka kiwandani na condition nzuri bila box
KaribuAiseee🤔🤔🤔
Sure mbona kama instincts zinakataa banaRefurbished Laptops ni laptops ambazo zimetoka kiwandani na condition nzuri bila box
Karibu tena 🤝Sure mbona kama instincts zinakataa bana
Kituko mtandaoni tupia chako Mshana JrRefurbished Laptops ni laptops ambazo zimetoka kiwandani na condition nzuri bila box
Refurbished ni second hand laptops! Yaani zilishatumika huko Dubai, Ulaya na Marekani; halafu ndiyo mnakuja kutuuzia sisi kwa bei kitonga. Yaani kwa ufupi unaweza kusema ni laptop za mtumba, ok?Refurbished Laptops ni laptops ambazo zimetoka kiwandani na condition nzuri bila box
Mbona ananiambia tu tofauti box zilikosa ikabidi zije bila ya boxRefurbished ni second hand laptops! Yaani zilishatumika huko Dubai, Ulaya na Marekani; halafu ndiyo mnakuja kutuuzia sisi kwa bei kitonga. Yaani kwa ufupi unaweza kusema ni laptop za mtumba, ok?
rehabilitated, reconditionedRefurbished Laptops ni laptops ambazo zimetoka kiwandani na condition nzuri bila box
Tunadanganywa tusio na shule sio?Aiseee🤔🤔🤔
Muuzaji hujui maana ya refurbished?Refurbished Laptops ni laptops ambazo zimetoka kiwandani na condition nzuri bila box