Alex Hamadi Hamis
Member
- Apr 18, 2017
- 86
- 57
Tuwasiliane kwa: +255683018095 / (WhatsApp: +255676095799)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuletea na UMEME kabisa mkuu! Nitumie kwa Airtel money jina itatoa Dorice Silito 😊Daka 120,000 chifu, nipo chalinze. Niletee na king'amuzi cha azam na extension cable ya tronic kabisa
Mwisho 250k mzee!150000
"corona ipo tuchukue tahadhari"
Hii mzee 32LJ520U - TA
very fair mkuu, usishushe bei ! hiyo ngoma iko makiniView attachment 1418803View attachment 1418804View attachment 1418806Nina uhitaji wa haraka sana wa pesa, ninauza TV yangu... LG, Full HD nimeitumia kwa mwaka mmoja lakini ipo katika hali nzuri. Ipo hapa Sinza A, karibu na Mlimani City!
Tuwasiliane kwa: +255683018095 / (WhatsApp: +255676095799)
Mkuu iking'ang'ania laki na ushee mi notatoa 200000Mwisho 250k mzee!
Ongeza 50k iwe 250k nakupatia mzigo fasterMkuu iking'ang'ania laki na ushee mi notatoa 200000
"corona ipo tuchukue tahadhari"
Subiri CORONA ikubebe 😂Mimi masikini sina hela.
Asante. Nimekucheki
Upo japo, ukichelewa baada ya saa 10 jioni unaweza usiukutemzigo bd upo?
Mkuu, malizia hio 50k iwe 250k nikupatie TV hiyo ukaangalie na wajukuunakuomba 200000 iko mkononi
Mimi masikini sina hela.