punguza kidogo kuna jamaa alikua anuza kwa mawe nne hapa hiyo tigopesa
Samsung wana model nyingi za fax machine yako ni ipi?Habari wanajf,kichwa cha habari kinahusika!Nauza line ya tigo pesa kwa tsh 700,000/(laki 7) tu.Na fax machine kwa laki 9 tu,aina ni samsung.Waweza kutumia kwa kutuma fax na photocopy machine.NIPO DSM NAMBA NI 0756587175.wote mnakaribishwa.Waweza kupata picha kwa whatsapp.
If you're not interested POTEZEA.
Samsung wana model nyingi za fax machine yako ni ipi?
Naitaka hiyo line ya TIGO nitakupataje unipe?