Mkuu Niko mbalizi kama kutakua Na negotiation tufanye biasharaVoda ni zile za double accounts (ya akiba na ya kazi).
Siuzi moja moja, Nauza zote 4 kwa jumla bei 670000 (laki 6 na elfu sabini).
Pia utapata offer ya simu 2 ndogo(hazina charger) za button bure kwa ajili ya kufanyia hiyo biashara, kila simu unaweka line mbili.
Line zipo Mbeya. Zitafikq mkoa wowote bila kuongeza gharama. Ila iwe rout ya basi moja.
Kwa biashara karibu hapahapa au PM.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko wapi mkuu?
Ni
M-Pesa, tiGO PESA, Aitel Money na Halo Pesa au ni uwakala wankusajili laini tu....????Sorry mkuu, kwa sasa sijafikiria kuuza moja moja. Ni zote 4 kwa pamoja. Tena wewe wa Mbeya ningefika mpaka mlangoni kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Line ziko tayari, zimesajiliwa kwa hiyo kazi. Na zimeishatumika kwa hiyo biashara miezi mingi tu.Ni
M-Pesa, tiGO PESA, Aitel Money na Halo Pesa au ni uwakala wankusajili laini tu....????
Uko serious Na biashara yako au hauuzii shida mkuu ko unasubili pesa iliyokamiliLine ziko tayari, zimesajiliwa kwa hiyo kazi. Na zimeishatumika kwa hiyo biashara miezi mingi tu.
Ila hivi sasa nataka niziuze zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko serious Na biashara yako au hauuzii shida mkuu ko unasubili pesa iliyokamili
Sent using Jamii Forums mobile app