Nauza Line za Uwakala zote 5

Nauza Line za Uwakala zote 5

ponerad

Member
Joined
Apr 14, 2020
Posts
6
Reaction score
6
Nauza Line za uwakala zote 5 Voda, Tigo, Halotel, Airtel, TTCL zote zina jina moja na documents zipo km lesseni na Tin. Nipo Songea 0717802341

Bei ya jumla 350,000/= tu...

Nipigie tujadili
 
mbombo ngafu
share.jpg


Sent from my M2101K7AI using JamiiForums mobile app
 
Mimi ndiyo kwanza line zote 5 zimetoka mwezi huu! Hapa nilipo sielewi hata cha kufanya! Niendelee na safari, au nirudi nyuma!! Yaani ukishuka nchale, ukipanda nchale!!

Huyu jamaa Mwigulu Nchemba huyu!! We muache tu. Halafu kikao chao cha kutathmini hizo tozo hakitoi mrejesho mpaka leo! Sijui wanataka kuendelea kutuchezea akili zetu kama walivyo tufanyia kwenye vifurushi!!
 
Duu sawa basi me kuna mdau nilimuuliza akaniambia haiwezekani... ni kawa nawaza nitazifanyia nini hizi line maana sina mpango wa kuzitumia tena ni tigo airtel vodacom na mpesa
 
Duu sawa basi me kuna mdau nilimuuliza akaniambia haiwezekani... ni kawa nawaza nitazifanyia nini hizi line maana sina mpango wa kuzitumia tena ni tigo airtel vodacom na mpesa
Unaweza nenda office za mitandao yate
 
Back
Top Bottom