Nauza Mabata (Dume)

Nauza Mabata (Dume)

Mr Spider

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2020
Posts
1,773
Reaction score
3,201
Habari zenu wakuu,

Nauza mabata dume ni makubwa na yanafaa kwa kula na mbegu pia. Karibuni mabata haya yanafugiwa Dar es Salaam.
 
Ni bata wa kawaida, kesho nitakuwekea picha mkuu. Bei ni 30000
 
Mkuu wewe sisi ndio umepost katika lile. Group letu la kazi?
 
Unajuwa hili ni soko kubwa. Unapotangaza au kutowa taarifa ya biashara yako basi kuwa muwazi kidogo.
Bata wa aina gani?
Picha
Kiwango unachoweza ku supply
Eneo,...
 
Unajuwa hili ni soko kubwa. Unapotangaza au kutowa taarifa ya biashara yako basi kuwa muwazi kidogo.
Bata wa aina gani?
Picha
Kiwango unachoweza ku supply
Eneo,...
Mbona Mwenye Tangazo Kaenda Moja Kwa Moja
 
Back
Top Bottom