ComputersDAR
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 213
- 242
Mabati yaliyotumika mwaka mmoja yanauzwa elfu 9 kila bati. Yapo 17 na yanapatikana Mbweni JKT. Yanafaa kwa banda la mifugo, nyumba za site, etc. Nauza pia nguzo 4 za chuma kwa elfu 20 kila nguzo. Unachukua barabara ya vumbi kutoka Boko Magengeni. Karibuni
Mawasiliano 0625 536 529 (usitumie whatsapp)
Mawasiliano 0625 536 529 (usitumie whatsapp)