Ninauza mbati ya rangi ya blue/green (ipo kati ya rangi hizo)yaliyobakia baada ya kuezeka nyumba yangu. Ni meter3 a futi 10 .Jumla yapo 31 nimeyanunua mwezi uliopita. Bei ya madukani kwetu ni Tshs. 31,0000/= mimi ninauza kwa 25,000/= KWA KILA BATI MOJA.
Ninaweza kukusaidia kupata ya kuongezea kutoka hapo niliponunua. Wailiana Nami NAMBA 0713 68 96 65 aU ni PM
ASNTE