Ni mali yangu halali tunaandikishiana hata kituo cha polisi
Ukitaka njoo uchukulie nyumbani.
Ni nzima haina kasoro yeyote nakupa warranty mwaka mzima.
Betri inakaa na chaji kutwa nzima hata ukiangalia movie
Sifa zake
MacOS high sierra
Pocessor....2.3 GHz
Core......i5
Memory (Ram).. 16GB
DDR3
Storage .... GB 512
Bei 650,000/=
Namba
0712583157
0712583157 WhatsApp
Nipo kibaha ila popote utaipata kwa urahisi sana.View attachment 2592678View attachment 2592679View attachment 2592680

Nami natamani kujua hayaNi SSD au HDD. OS yake update ikoje? Nipo ubungo ukiwa fresh njoo uchukue 450,000/= cash kesho asubuhi. Ipo vizuri japo toleo la nyuma sana 2011. (2023-2011=12) 12yrs si haba mzee. Hapo
Aaah hela ndogoKuna 470k Cash mkuu, my best offer!
Ha haaaa mjomba hela ndogoNi SSD au HDD. OS yake update ikoje? Nipo ubungo ukiwa fresh njoo uchukue 450,000/= cash kesho asubuhi. Ipo vizuri japo toleo la nyuma sana 2011. (2023-2011=12) 12yrs si haba mzee. Hapo