Ndiyo mkuu unaweza nicheck kwa namba 0620306221Bei maelewano kidogo nije tuyajenge?
Ina mwaka 1 kamili sasa, nimenunua mwaka jana 2022 mwezi wa 3.Tangu ununue ina muda gani?
Sorry mkuu labda network tu. Uneweza nipikia tenaNamba hazipatikani
Ninayo nyingine, hivyo ninaweza nikaendelea na kazi zanguUkishauza wewe utatumia nini?
Ongeza kidogo nduguPokea ofa ya 1.5M kama bado ipo
Ongeza kidogo nduguMkuu kuna 1.3M.
Naomba utuwekee serial number tafadhaliHabari wakuu.
Nauza laptop yangu Apple, Macbook Pro.
Laptop hii nilinunua toka USA kwenye store za Apple kabisa.
Display: 13 inch
Processor: Core i5
Memory (RAM): 16GB
Graphics: Intel 1.5GB
Storage: 1TB SSD
Tourchbar
Nauza kwa TSH. 2M (Milioni mbili za ki Tanzania)
Simu: 0620306221 (Haipo WhatsApp, kwa WhatsApp tumia 0742031321)
Nipo: Chanika, Dar Es Salaam.
Mauziano yatafanyika kwa mwanasheria au Afisa Mtendaji wa mtaa nilipo, kwa usalama zaidi.View attachment 2618030View attachment 2618029View attachment 2618031View attachment 2618032View attachment 2618033
Serial Number ni Siri ya chombo chenyewe, ni siwa na mtu akuombe ime ya simu yako. Hupaswi kuitowa kwa ajiri ya usalama wa chombo chako.Naomba utuwekee serial number tafadhali