Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
Sawa. Weka detailed specsSerial Number ni Siri ya chombo chenyewe, ni siwa na mtu akuombe ime ya simu yako. Hupaswi kuitowa kwa ajiri ya usalama wa chombo chako.
Nadhani unaweza kuniuliza chochote unachotaka kukifahamu zaidi.
Mbona details zote zipo hapo juu, unahitaji details gani nyingine ndugu?Sawa. Weka detailed specs
Model No: A2251Model number mfano. Picha ulizoweka ngumu kusoma maandishi
Condition yake ipo vizuri na haina scratch yoyoteCosmetic condition ikoje? Ina scratches/blemishes zozote?
Uliomba model number nikakupa sasa hivi unahitaji tena receipt.Mkuu, unaweza kuweka picha ya risiti? White out/futa info za siri lkn ionyeshe angalau tarehe, wapi imenunuliwa, model number na bei. Asante.
Uliomba model number nikakupa sasa hivi unahitaji tena receipt.
Nadhani haupo serious na biashara.
Nadhani kama upo serious model number inakujulisha kila kitu, kuanzia tarehe iliyotengenezwa.Wewe weka hizo detail, asiponunua yeye kuna watakaona hizo detail watanunua!
Unapouza second ama third hand item unapaswa kuweka detail zote zinazotakiwa public, ili mnunuzi aweze kufanya maamuzi kwa urahisi!
Wabongo wanafeli sana, hapa!
Mtu anaulizwa detail za kitu anachouza anakasirika ama anamuona anaeyeuliza si mnunuaji! Inakera…!
Nimeomba uthibitisho wa hii kauli yako. Ni nadra Macbook ya 2020 uikute kwenye stock ya Apple Store Marekani mwaka 2022. Macbook ya 2020 inachukuliwa kama ni model ya zamani, na sana sana utauziwa ikiwa imetumika online.Laptop hii nilinunua toka USA kwenye store za Apple kabisa.
Sawa ndugu, sipo hapa kubishana.Nimeomba uthibitisho wa hii kauli yako. Ni nadra Macbook ya 2020 uikute kwenye stock ya Apple Store Marekani mwaka 2022. Macbook ya 2020 inachukuliwa kama ni model ya zamani, na sana sana utauziwa ikiwa imetumika online.
Acha makasiriko bishana kwa fact this is jf malomoni kupotezapoteza mudaSawa ndugu, sipo hapa kubishana.
Mkuu mimi silalamiki pia wala sina makasiliko, mteja mwenye nia huonekana mwingine anahitaji tu mbishane, nadhani wewe pia nimfanyabiashara mzuri na unaelewa changamoto zilivyo.Acha makasiriko bishana kwa fact this is jf malomoni kupotezapoteza muda
Proof of purchase ni muhimu kuonyesha. Mwenye kuleta ubishi ni wewe sababu maneno mengi wakati ishu ni simple thibitisha yale uliyoandika mwenyewe.Sawa ndugu, sipo hapa kubishana.