Kama unahitaji njoo na pesa kabisa, ukaguwe laptop, utapewa na proof of purchase, ukilidhika mauziano yanafanyika tena kwa mwanasheria au mwenyekiti wa mtaa.Proof of purchase ni muhimu kuonyesha. Mwenye kuleta ubishi ni wewe sababu maneno mengi wakati ishu ni simple thibitisha yale uliyoandika mwenyewe.
Wacha nicheke kidogo 😀, njoo tufanye biashara ndugu, nijikwamue.Kumbe ushaishi marekani.
Ila Mzee utakuwa umepigika kishenzi.
Mkuu bongo ni bajeti kwa kwenda mbele usipende sana kwenda kula msosi pale mlimani city. Vuka njoo ule ng'ambo ya pili. Hii 2M unayoitaka haidumu ukispendia kweny malls
1 Million Tsh ipo plain haina mbambamba mzeeWacha nicheke kidogo 😀, njoo tufanye biashara ndugu, nijikwamue.
Hiyo unapata MacBook za RAM 8GB SSD 500 tena hali inaweza kuwa mbaya na matatizo lukuki au refurbished (Zilizofunguliwa na kufanywa malekibisho mbali mbali).1M plain ipo haina mbambamba mzee
Kama hii itakuwa mbovu au?Hiyo unapata MacBook za RAM 8GB SSD 500 tena hali inaweza kuwa mbaya na matatizo lukuki au refurbished (Zilizofunguliwa na kufanywa malekibisho mbali mbali).
Ongeza pesa tufanye biashara ndugu.
Ndugu, tusiingilie biashara za watu, tupambane na hii ya kwetu.Kama hii itakuwa mbovu au?
Apple Laptop Inauzwa
Apple Laptop MacBook Pro Retina Display Inauzwa 13 inch Processor 2.7 GHZ Dual Core Intel Core i5 RAM 8GB 1867 MHZ DDR3 Graphics Intel Iris Graphics 6100 1536 MB. Mbezi, Dar es Salaam Bei 650,000/= Mawasiliano 0623745875www.jamiiforums.com
Vili vili macbook zenye cheap ya Intel ni nzuri mno japo inaweza kuwa ngeni kwa baadhi ya watu.Ndugu, tusiingilie biashara za watu, tupambane na hii ya kwetu.
Anyway hiyo uliyo nionesha ni ndogo sana kwa hii yangu, kuanzia uwezo wa RAM na Hard Disk, pia hii Ina touchbar pia model hii ni ya 2020 na pia inasupport ya apple moja kwa moja mpaka December, japo nili nununua mwaka jana ila niliipata kwa bahati kwenye Apple store kutokana na specification nilizokuwa nazitaka kwa kazi yangu, nikapata hiyo. Kwenye Uzi wa huyo jamaa pia nimecomment kwamba naitaka hiyo yake pia kwa sababu kuna mahitaji nayapata pia kwenye ile japo uwezo wake ni mdogo.
Haya tuendelee na biashara zetu.
Ila kama umeipenda ile unaweza pia kuinunua siyo mbaya.
Hongera mashine iko vizuri sana , tho mimi nahitaji M1 au M2 pro.Habari wakuu.
Nauza laptop yangu Apple, Macbook Pro.
Laptop hii nilinunua toka USA kwenye store za Apple kabisa.
Display: 13 inch
Processor: Core i5
Memory (RAM): 16GB
Graphics: Intel 1.5GB
Storage: 1TB SSD
Tourchbar
Nauza kwa TSH. 2M (Milioni mbili za ki Tanzania)
Simu: 0620306221 (Haipo WhatsApp, kwa WhatsApp tumia 0742031321)
Nipo: Chanika, Dar Es Salaam.
Mauziano yatafanyika kwa mwanasheria au Afisa Mtendaji wa mtaa nilipo, kwa usalama zaidi.View attachment 2618030View attachment 2618029View attachment 2618031View attachment 2618032View attachment 2618033
Sawa ndugu, mimi hiyo sina na kama utaipata basi siyo chini ya Mil 3Hongera mashine iko vizuri sana , tho mimi nahitaji M1 au M2 pro.
Bei imeshuka kidogo Ml. 1.8
Unaweza ukanipigia simu tukayajengaShuka mpaka 1.5 Boss
Mm naomba unifahamishe jinsi ya kuagiza, niliona MacBook kwenye amazon nikaona wameweka na shipping fee, sasa nauliza ile shipping fee ni mpaka naipokea au kuna gharama nyingine nitalipia mzigo ukifika mfano traHabari wakuu.
Nauza laptop yangu Apple, Macbook Pro.
Laptop hii nilinunua toka USA kwenye store za Apple kabisa.
Display: 13 inch
Processor: Core i5
Memory (RAM): 16GB
Graphics: Intel 1.5GB
Storage: 1TB SSD
Tourchbar
Nauza kwa TSH. 2M (Milioni mbili za ki Tanzania)
Simu: 0620306221 (Haipo WhatsApp, kwa WhatsApp tumia 0742031321)
Nipo: Chanika, Dar Es Salaam.
Mauziano yatafanyika kwa mwanasheria au Afisa Mtendaji wa mtaa nilipo, kwa usalama zaidi.View attachment 2618030View attachment 2618029View attachment 2618031View attachment 2618032View attachment 2618033
Ghalama za malipo hasa ya ushuru baada ya mzigo kufika zipo. Unaweza kuwasiliana na Mwl.RCT atakusaidia.Mm naomba unifahamishe jinsi ya kuagiza, niliona MacBook kwenye amazon nikaona wameweka na shipping fee, sasa nauliza ile shipping fee ni mpaka naipokea au kuna gharama nyingine nitalipia mzigo ukifika mfano tra
Nipe link ya item husika.au kuna gharama nyingine nitalipia mzigo ukifika mfano tra