Nauza machine yangu ya kunyonyolea manyoa ya kuku wa sina zote.inanyonyoa kuku 4 kwa sekunde chache na haitumi umeme mkubwa.iko very effective kwa wajasiri ya Mali katika ufugaji kuku inawafaa sasa!bei 600,000 maelewano yapo!karibuni sana!picha zipo ingawa hapa kila nikijaribu Ku upload zinakataa!whatssap 0786 057 996 kwa picha or call 0756661761