Maskini watoto wa kike wanaozaliwa miaka hii!
Yaani hataweza hata kunyonyoa kuku,
Nazi, kisamvu, kusigina karanga na mengineyo ni blenda,
Kukata kitunguu, nyanya, karoti, hoho na vinginevyo ni vifaa maalum,
Kukoboa mahindi ya makande badala ya kutwanga wanakoboa mashineni
Mtoto havai nepi akabadilishwa baada ya mfupi, anashinda amevaa pampasi