Huwezi ukauza madini Aina hyo kwa style hiii humu jf kwanza hakuna wanunuzi humu wala hakuna mnunuz mthai au msrilanka akatayeingia humu na kuona bidhaa hyoHaipungui
Hakuna biashara kama hyoKuna mtu atatapeliwa hapa au muuzaji kukamatwa kwa kuficha madini ndani. Ila ki ukwel mtu mwenye hayo madini aje kutafuta wateja jf?
Biashara yeyote kutangaza ni muhimu na kutolewa ushauri maoni na nk ndo mwazo wa kuweza kujua masoko ya Madini usipo tangaza, utamuuzia nani na wapi? Ndo maana ikawepo mitandao kama hivi kwa ajili ya kupanua wigo wa uelewa wa mambo mbalimbali. Kwahiyo kwa anaye jua zaidi Madini na sharia zake atasema kwa asiye elewa ataishia kushangaa. Haya yakwangu ninayauza kwa vibali vya Madini na mnunuzi nae atanunua kwa vibali vya Madini na si vingimevyo.Hakuna biashara kama hyo
Ndomana nme mpa code akapambane mwenyewe
Ila sijawahi skia mtu anauza madini ya thamani kwenye mtandao humu sana sana tunapeana idea na connection
Ova
Biashara yeyote kutangaza ni muhimu na kutolewa ushauri maoni na nk ndo mwazo wa kuweza kujua masoko ya Madini usipo tangaza, utamuuzia nani na wapi? Ndo maana ikawepo mitandao kama hivi kwa ajili ya kupanua wigo wa uelewa wa mambo mbalimbali. Kwahiyo kwa anaye jua zaidi Madini na sharia zake atasema kwa asiye elewa ataishia kushangaa. Haya yakwangu ninayauza kwa vibali vya Madini na mnunuzi nae atanunua kwa vibali vya Madini na si vingimevyo.