MOSintel Inc
JF-Expert Member
- Mar 24, 2016
- 817
- 593
6000 kwa lita moja mbona unauza bei kubwa sana mkuuHabari,
Kama heading inavyojieleza nauza mafuta ya Alizeti katika dumu za lita 20 (zimezidi Lita 1-2 kwa kila dumu).
Mafuta ni masafi na hayana harufu, sio ya kuchemsha na si machungu. Muonekano wake unaita.
Mzigo upo Kibaha mjini.
Kama una uhitaji karibu PM au nicheki kupitia namba 0787454580.
WAHI MAPEMA, NAVUNJA BEI.
Lita moja anauza 6000Lita tano unauzaje
Bas siyo siyo bei raisLita moja anauza 6000
Ungeweka na bei mkuuHabari,
Kama heading inavyojieleza nauza mafuta ya Alizeti katika dumu za lita 20 (zimezidi Lita 1-2 kwa kila dumu).
Mafuta ni masafi na hayana harufu, sio ya kuchemsha na si machungu. Muonekano wake unaita.
Mzigo upo Kibaha mjini.
Kama una uhitaji karibu PM au nicheki kupitia namba 0787454580.
WAHI MAPEMA, NAVUNJA BEI.
Kama Alfu8 Kwa lita ndio unaita kuvunja bei ina maana bila kuvunja bei ingekua kias gani?Habari,