Nauza mafuta ya alizeti

Uhuru24

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
4,112
Reaction score
4,361
Baada ya maadiliko ya hali ya hewa sisi wakulima kukosa kabisa mazao ya kutosha,hivyo haya machache niliyopata nimeona bora nikamue mafuta niuze.

Hivyo nauza kuanzia lita tano kwa 30,000 tu, mafuta yangu safi na bora kwa matumizi ya binadamu.

Hayana kabisa harufu kama yalivyozoeleka, nipo kariakoo karibu kabisa na stand ya mwendo kasi GEREZANI 0715378899

 
Popote ulipo nakuletea kwa gharama zangu kwa Dar tu, na ukiona yana harufu wala usichukue
 
Njooo tusaidieni kurudisha gharama za shamba

 
Mafuta yapo jaman ya alizeti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…