Nauza mafuta ya kupikia ya mawese

Nauza mafuta ya kupikia ya mawese

elmeleki

New Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
3
Reaction score
0
Nauza mafuta ya kupikia ya mawese kwa anaye hitaji be ni Tsh 3,000 lita moja

Tsh 1500 nusu lita

Tsh 800 robo lita
IMG-20180814-WA0007.jpg
IMG-20180814-WA0005.jpg
 
Unapatikana wapi? Weka mawasiliano basi
 
Ndiyo Mafuta Pekee Salama Na Ya Kuaminika
Yalitobaki Tunakula Tu Hatujui Ukweli Wenyewe
 
Mawese sasa hivi yamekuwa game changer, kila mtu anayatafuta kuanzia majumbani mpaka wauza chips.
 
Back
Top Bottom