Black ma colour
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 733
- 664
Sio Cream Ni Cocoa Butter 100%... Ndio maana fisadi fulani hapo bongo kaona sisi walala hoi tunaoleta kidogo kidogo tunafaidi kahamua kwenda Ivory Coast na ebola yote iliyojaa Kamwaga Mjini Container 50 za queen Elisabeth...Sijui hizo pesa anazoiba bungeni hazimtoshi mpaka kutuzibia rizki ss wenye mitaji midogo..
hahaha umenifurahisha kweli. vp huyo ni nani na anauza kwa shilingi ngap na anapatikana wap?
pia naomba unisaidie kuhusu hili.
1. mafuta haya wanaume wanaweza kutumia?
2. vp yanaondoa mikunjo kwenye paji la uso especially lie iliyo sambamba na pua..
Sio Cream Ni Cocoa Butter 100%... Ndio maana fisadi fulani hapo bongo kaona sisi walala hoi tunaoleta kidogo kidogo tunafaidi kahamua kwenda Ivory Coast na ebola yote iliyojaa Kamwaga Mjini Container 50 za queen Elisabeth...Sijui hizo pesa anazoiba bungeni hazimtoshi mpaka kutuzibia rizki ss wenye mitaji midogo..
Mwizi mmoja tu aliyeamia kutuzibia rizki anauza 25,000 rejareja na 20,000 jumla, ameyajaza kariakoo huko
1.ndio wanaume wanaweza kutumia pia
2.Sina uhakika mkuu lkn ni mafuta mazuri sana ukitumia auwezi kujua, me mwenyewe mr anatumia yamemfanya mwili wake umekuwa soft sana na unang'aa haswa, lkn angalia watu wengine wanauza ambayo ukiyafungua kwa ndani yanatoa maji baada ya matumizi ya mida mfupi au kabla hata aujatumia ukifungua tu utaona kopo lina majimaji

hivi kama una uhakika kuwa ni mwizi kwanini usihangaikie ili swala ili serikali ichukue mkondo wake wa kisheria?au washindani wako ndio unawaita wezi kwavile wamekuzidi kete kwa kuwa na mitaji mikubwa?
yaani huyu ndio anaakili timamu,meona wewe unatulangua kwa hiyo bei yeye kamuu kutukomboa kwa kuleta nyingi ili kushusha bei.
nasubiri akifungua tu na mie naanza kuyatumia cha muhimu alipe kodi ya serikali yangu tu.
thank u for ur concern......
Iam not concerning mkuu am just explaining, concerning is like caring and i dont care #init
Sio Cream Ni Cocoa Butter 100%... Ndio maana fisadi fulani hapo bongo kaona sisi walala hoi tunaoleta kidogo kidogo tunafaidi kahamua kwenda Ivory Coast na ebola yote iliyojaa Kamwaga Mjini Container 50 za queen Elisabeth...Sijui hizo pesa anazoiba bungeni hazimtoshi mpaka kutuzibia rizki ss wenye mitaji midogo..
Yeye mbona anauza 28,000 kwa moja? Nenda kwenye maduka ya madada wa mujini uone wanavyotengenezwa kuna mmoja kamaliza anauza 45,000 kwa moja
Ni afadhali alivyoleta hzo kontena 50 Maana wabongo mnapenda wizi.. Nyie mnauzaje kopo la mafuta ya kupakaa kwa 35000?? ningekuwa na uwezo ningeingiza kontena 100 zaidi ningeuza kwa 15000 naamini faida inapatikana
tatizo biashara za waswahili zimejaa wizi ndo maana haziendelei
Wote tu mi naonaga ushamba wao tu.
Kesho wakitangaziwa mafuta mengine watahama hayo watakimbilia.
Kuhangaika tu
Wajinga ndio waliowao
Mkorogo huo kwa wasiopenda rangi za asili.
Tayari yapo mjini yanaitwa QUEEN HELEN ni mbadala ya hayo maarufu ya QUEEN ELITHABETH maana kunatofauti ya 5000 kwenye bei na yote ni 100% cocoa butter.
Ni afadhali alivyoleta hzo kontena 50 Maana wabongo mnapenda wizi.. Nyie mnauzaje kopo la mafuta ya kupakaa kwa 35000?? ningekuwa na uwezo ningeingiza kontena 100 zaidi ningeuza kwa 15000 naamini faida inapatikana
tatizo biashara za waswahili zimejaa wizi ndo maana haziendelei
hivi kama una uhakika kuwa ni mwizi kwanini usihangaikie ili swala ili serikali ichukue mkondo wake wa kisheria?au washindani wako ndio unawaita wezi kwavile wamekuzidi kete kwa kuwa na mitaji mikubwa?
Hapa ndugu yangu katika Imani, Mkorogo wa hii kitu unakuja pale mtu napotaka na hasa wanatumia maji ya special wanachanganya na hiyo cocoa ndipo wanapata mkorogo.