Car4Sale Nauza magari ya aina mbalimbali

Kwenye milage we ni muongo mkubwa tena mkubwa Fiscovery zote kutoka Ulaya zinakuja na millage ya zaidi ya 100 000 labda iwe imetoka Japan, ndo maana zinakufa haraka hapa bongo.
 
Kwenye milage we ni muongo mkubwa tena mkubwa Fiscovery zote kutoka Ulaya zinakuja na millage ya zaidi ya 100 000 labda iwe imetoka Japan, ndo maana zinakufa haraka hapa bongo.
Ndio Maana Wahenga Walisema Kuuliza Sio Ujinga Na I Wish Kama Ungejua Iyo Gari Nani Aliagiza Na Ilifika Hapa Nchini Ikiwa Na Mileage Ngapi Wala Usingethubutu Kutamka Hayo Maneno Yako.

Tusipende Kuishi Kwa Kukariri Na Mihemko, Mimi Nipo Tayari Kukupatia Hata File Zima La Gari Uende Unapopajua Ukakague Kila Kitu Kisha Urudie Hapa Jukwaani Utuletee Majibu Alafu Tuone Kati Yangu Mimi Na Wewe Na Yuko Sahihi.

NAWASILISHA
 
Hiyo ndio bei kitonga ?? Wakati Kc anauza kwa bei ya msererko M 32 unasukuma chuma
Basi wapeleke watu kwa KC, hizi tuachie sisi wa jf.
Discovery hiyo iko sawa saaaaaaana. Kwasisi wajua magari iko sawa saaaana
 
Ancient vehicle
 
Kiuhalisia ingeuzwa bei gan
 
Basi wapeleke watu kwa KC, hizi tuachie sisi wa jf.
Discovery hiyo iko sawa saaaaaaana. Kwasisi wajua magari iko sawa saaaana
Asante Sana Kaka Japo Sipendi Kuzungumzia Biashara Za Watu Lakini Uyo Anayemzungumzia Na Gari Zake Ukiwauliza Watu 10 Walionunua Basi Kati Yao 8 Ni Kilio Cha Yatima
 
Bei/Price🏷️: TSH 18.8M
Call📞0747 999 927

TOYOTA KLUGER V

Year: 2000
Engine: 2360Cc
Mileage: 85,000+

Transmission: AUTO

✅Fog Lights
✅Android Radio
✅In Good Condition
✅Exchange Possible
 
Attachments

  • IMG-20240520-WA0041.jpg
    182 KB · Views: 8
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…