Car4Sale Nauza magari ya aina mbalimbali

Wewe ndio mmiliki au dalali? Kama dalali kuna mtu mwingine katikati au simu moja kwa mmiliki? Nakuuliza hivo kwasababu nimeona imepostiwa insta kwa bei tofauti.
 
Wewe ndio mmiliki au dalali? Kama dalali kuna mtu mwingine katikati au simu moja kwa mmiliki? Nakuuliza hivo kwasababu nimeona imepostiwa insta kwa bei tofauti.
 
Kali maana yake nini?

Kwa nini madalali wa Tanzania hua lazima muweke maneno yasiyo na maana kwenye matangazo yenu.

Utasikia kiwanja kikali, sijui eneo kali, sijui gari imenyooka, gari kali nk.

Gari ya mwaka 2005 unaita kali kweli mkuu? 20 years car unasema kali?πŸ˜‚

Mwenye gari ya 2020 asemeje ukiachilia mbali mwenye 2023?
 
Boss ya mwaka huu hela unayo ya kununua
 
Huyu jamaa itakua ni mgeni kwenye udalali, ndiomaana bei anataja tu tofauti na wenzie insta, gari Kule zinapostiwa kwa bei ndogo, ye huku anataja tu yoyote anayojisikia πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyu jamaa itakua ni mgeni kwenye udalali, ndiomaana bei anataja tu tofauti na wenzie insta, gari Kule zinapostiwa kwa bei ndogo, ye huku anataja tu yoyote anayojisikia πŸ˜‚πŸ˜‚
Huyu ni mgeni na wala hajui bei ya soko kwa kila aina ya gari na plate number
 
Model
NOAH VOXY
Make
Toyota
Year
2002
Mileage
97000 km
Price 6,000,000 Tanzania shillings
Nicheki pm kwa ndinga hili.

Transmission
Automatic
 
Make
Toyota
Model
MARK X
Year
2006
Mileage
99800 km
Transmission
Automatic
Price 7,000,000 Tanzania shillings

Nichek pm kwa hii ndinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…