Penologist
JF-Expert Member
- Feb 25, 2019
- 790
- 1,923
Napatikana mkuu piga simu.Haupatikani.
Location yako?Habari za kazi wakuu, mimi ni mkulima kijana nimeamua kuuza nafaka nilizo vuna mwenyewe bila dalali, mahindi yana ubora wa hali ya juu, store nina gunia 30 nauza 1 kwa 100,000. Sitaki dalali. Store ipo Arusha Ilboru. Number za simu 0763574651 serious buyer only udalali sitaki.
Store ipo Ilboru Arusha
Mahindi ni meupe boss.Meupe au njano?
Habari za kazi wakuu, mimi ni mkulima kijana nimeamua kuuza nafaka nilizo vuna mwenyewe bila dalali, mahindi yana ubora wa hali ya juu, store nina gunia 30 nauza 1 kwa 100,000. Sitaki dalali. Store ipo Arusha Ilboru. Number za simu 0763574651 serious buyer only udalali sitaki.
Typing error kg 1 kwa 1000Sijakuelewa unauza kg 1 kwa sh 100.
Bei ya wapi hiyo mkuu. Mahindi yameshuka sana bei sasa hivi na mvua hizi yatazidi kushuka zaidi maana bado uzalishaji unaendelea kuongezekaTyping error kg 1 kwa 1000
Uzalishaji na hii mvua, tena kwa elnino hii mahindi yatapanda bei kweli, mimi nimeuza Magunia yote kwa laki moja.Bei ya wapi hiyo mkuu. Mahindi yameshuka sana bei sasa hivi na mvua hizi yatazidi kushuka zaidi maana bado uzalishaji unaendelea kuongezeka
Duuuu wakenya wasipoingia kununua Mahindi yatashukuka zaidi na hizi mvuaMwanza ninazo gunia 50 bei elfu 90.
Na hali inavyoelekea yatashuka zaidi.Duuuu wakenya wasipoingia kununua Mahindi yatashukuka zaidi na hizi mvua