Heri lee
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 981
- 537
Ndugu wana jamii kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nauza mahindi mabichi mahususi kwa ajili ya kuchoma.. Ninayo heka tatu ni yale makubwa mbegu DK 8031, Napatikana Moshi, nahitaji dalali au mtu anayeweza kuchukua yote kwa jumla, AU at least kuanzia heka moja..Huku wananunua matatu sh 1000... Kama una uhitaji huo karibu P.M tuyajenge, Dalali au mfanya biashara yoyote anayeweza kununua sehemu yoyote hata mikoani aje tufanye biasharara.. KARIBUNI SANA..