Nauza mahindi tani 32, anayehitaji anicheki

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Wakuu kuna tani 32 za mahindi zinauzwa, bei itategemea na sehemu ulipo maana nakuletea, ama ukiamua kuyafuata mwenye pia sawa

Kwa maelezo na mawasiliano zaidi nicheki inbox
 
Mahindi yanauzwa na wengi

Weka mahali yanakopatikana
Bei
Mawasliano ya moja kwa moja
 
Wakuu kuna tani 32 za mahindi zinauzwa, bei itategemea na sehemu ulipo maana nakuletea, ama ukiamua kuyafuata mwenye pia sawa

Kwa maelezo na mawasiliano zaidi nicheki inbox
Bos weka namba ya simu na location
 
Ukisema unauza mahindi tani 32 kimahesabu mimi huku ina register kukokotoa kwa bei ya kilo ndipo nipige hesabu ya bei ya gunia.

Tani 1 = kilo 1000

Je kilo 1ni kiasi gani?!
 
Bei ya kilo kwa Dar es salaam tafadhali
 
Kuna sehemu nipo kilo moja ni 500 hàdi 700
 
Back
Top Bottom