Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
NdioMahindi mapya?
Wakuu kuna tani 32 za mahindi zinauzwa, bei itategemea na sehemu ulipo maana nakuletea, ama ukiamua kuyafuata mwenye pia sawa
Kwa maelezo na mawasiliano zaidi nicheki inbox
Mahindi mapya sh ngapi Tani?Ndio
Bos weka namba ya simu na locationWakuu kuna tani 32 za mahindi zinauzwa, bei itategemea na sehemu ulipo maana nakuletea, ama ukiamua kuyafuata mwenye pia sawa
Kwa maelezo na mawasiliano zaidi nicheki inbox
Wapi huko tuje kununuaKuna sehemu nipo kilo moja ni 500 hàdi 700