Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,621
- 10,847
Jike lenye mimba unaweza kuliuza kwa elfu 50 kweli?.Wewe jamaa haupo serious.Sijaelewa Ni elfu 50 au laki 5?
Duh kama hivyo wanalipa tumezoea huku mikoani bei cheeJike lenye mimba unaweza kuliuza kwa elfu 50 kweli?.Wewe jamaa haupo serious.
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Upo mkoa gani huo ambapo unaweza kuuziwa Nguruwe jike mwenye mimba kwa Elfu 50??.Duh kama hivyo wanalipa tumezoea huku mikoani bei chee
KabisaJike lenye mimba unaweza kuliuza kwa elfu 50 kweli?.Wewe jamaa haupo serious.
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app