Nauza majogoo machotara na mayai ya kienyeji

Nauza majogoo machotara na mayai ya kienyeji

Mkulima wa Kuku

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
1,270
Reaction score
534
Umejiandaaje na Xmas na Mwaka mpya?

Nauza majogoo chotara yapatayo 30 hivi. Yana umri wa kati ya miezi 6-8.5 ni makubwa yenye uzani wa kg 3-4. kwa walioserious tu piga 0762413132
. Bei ni shs.20,000/=kwa jogoo, Niko Dar.

Aidha nauza mayai ya kienyeji mazuri trei ni shs. 12,000/=
 
Nauza majogoo
chotara yapatayo 30 hivi. Yana umri wa kati ya miezi 6-8.5 ni makubwa yenye uzani wa kg 3-4. kwa walioserious tu piga 0762413132
. Bei ni shs.20,000/=kwa jogoo, Niko Dar.

Aidha nauza mayai ya kienyeji mazuri trei ni shs. 12,000/=

Nataka chotara la kibulushi na kinyamwezi, unalo?
 
mimi nataka chotara la kiharabu ila lisiwe na ndevu. Nitarudi baadae
 
Mkuu kwa unyenyekevu mkubwa, wewe ni bondia, bouncer au? Mkuu nahofia kutoa kuku wangu wa kiarabu huenda wakakuota usiku wakiona sura yako....nisamehe mzee kwani majogoo ya kiarabu ni maoga sana. Heshima yako mkuu!
 
Back
Top Bottom