Nauza Majogoo ya kienyeji makubwa

Nauza Majogoo ya kienyeji makubwa

captainJack

Member
Joined
Jun 15, 2011
Posts
12
Reaction score
2
WanaJF wanaohitaji majogoo ninayo 200. Mengi kama 150@15000 na mengi new 50@25000. Haya ya 25000 ni makubwa sana. Karibu tupo Bunju. Ukichukua mengi unaletewa kwa DSM.nitaatach pics later
 
Back
Top Bottom