INAUZWA Nauza manual mashine za kupandia mpunga

INAUZWA Nauza manual mashine za kupandia mpunga

Mku alafu kuna Trekta Inauzwa Mln 14 Imetoka denmark ni John deer70 bei Mln 14 namba yangu unayo najua,tafuta mteja

Ova
Mrangi mzee msg ndo naona sasa Hivi dah nakutafuta mzee
 
Mku alafu kuna Trekta Inauzwa Mln 14 Imetoka denmark ni John deer70 bei Mln 14 namba yangu unayo najua,tafuta mteja

Ova
Trekta ukimaanisha trekta tulijualo ama ni zana tu ya kupandia huo mpunga tu? Linalima? Na shughuli zingine za kitrekta je?
 
haha mkuu umeshaua biashara ya mdau.. nakuja P.M unipe details kamili nikachukue moja hapo kariakoo weekend hii..
 
Back
Top Bottom