NAUZA MAPARACHICHI

Hivi ni kwanini biashara ya matunda haifuti standard measurement kama kilo? Nilicheka sana mama mmoja alikuwa anauza maparachichi kwa kitu kinachoitwa ''kipimo cha gunia'' lakini kiuhasilia ni gunia ujazo wa gunia mbili (lumbesa)
 
Kwa wastani gunia moja inaweza kuwa na Parachichi ngp?
 
Dunia ya sasa tangazo bila picha video clip sw na takataka TU.





KAZI ni kipimo cha UTU
wakati unandika comment yako, je? umejiuliza huyu aliyeandika haya anatokea wapi na yupo katika mazingira gani? Na anayo elimu gani?

Wewe uko na maarifa katika fani ya online marketing je hayo maarifa yako, mimi naweza kuwa nayo?

Mpe hongera kwa kujaribu nachokifanya na uumpe maboresho katika biashara anayoifanya...
 
Nakutafuta tajiri
 
Uko positive sana
 
Organic avocado from kilimanjaro, huwa ni vidogo vidogo halafu vitamu kwelikweli, siyo kama hayo makubwa makubwa halafu siyo matamu kabisa!
 
Hivi ni kwanini biashara ya matunda haifuti standard measurement kama kilo? Nilicheka sana mama mmoja alikuwa anauza maparachichi kwa kitu kinachoitwa ''kipimo cha gunia'' lakini kiuhasilia ni gunia ujazo wa gunia mbili (lumbesa)
Wakulima hawana shida na lumbesa wao usema ni nyongeza ya mkulima
 
Ni kiherehere cha serikali tu hakuna mkulima amewahi lalamika kipimo cha lubesa
Busara ni kutosubiri mtu alalamike ndiyo uone unamuuza. Ukiona mtu yoyote anayetenda dhulma au jambo baya halafu anasema anafanya hivyo kwa sababu anayetendewa halalamiki, basi huyo ni mnyama.
 
Nice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…