M mtani21 JF-Expert Member Joined Jun 30, 2021 Posts 954 Reaction score 1,529 Jun 23, 2024 #21 macho_mdiliko said: Hivi ni kwanini biashara ya matunda haifuti standard measurement kama kilo? Nilicheka sana mama mmoja alikuwa anauza maparachichi kwa kitu kinachoitwa ''kipimo cha gunia'' lakini kiuhasilia ni gunia ujazo wa gunia mbili (lumbesa) Click to expand... Inategemea njombe tunauza parachichi kwa kilo. Kilo moja 1000 hadi 2000. Ambapo kilo yanakuwa 3 hadi 5 tegemeana na ukubwa.
macho_mdiliko said: Hivi ni kwanini biashara ya matunda haifuti standard measurement kama kilo? Nilicheka sana mama mmoja alikuwa anauza maparachichi kwa kitu kinachoitwa ''kipimo cha gunia'' lakini kiuhasilia ni gunia ujazo wa gunia mbili (lumbesa) Click to expand... Inategemea njombe tunauza parachichi kwa kilo. Kilo moja 1000 hadi 2000. Ambapo kilo yanakuwa 3 hadi 5 tegemeana na ukubwa.
Crocodiletooth JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 20,561 Reaction score 24,428 Jun 23, 2024 #22 Lily Tony said: Kwa jina zinaitwa parachichi Aina ya HASS Zina sifa ya pekee Sana kulinganisha na parachichi nyingine zote. Click to expand... Haya hass yana GMO, ya durability, yanaweza kukaa kwa muda mrefu sana, lakini hayo ya kilimanjaro huoza chap chap!....
Lily Tony said: Kwa jina zinaitwa parachichi Aina ya HASS Zina sifa ya pekee Sana kulinganisha na parachichi nyingine zote. Click to expand... Haya hass yana GMO, ya durability, yanaweza kukaa kwa muda mrefu sana, lakini hayo ya kilimanjaro huoza chap chap!....
W William Mwita Member Joined Oct 29, 2023 Posts 96 Reaction score 74 Jun 23, 2024 #23 Habari, Karibu chianteng limited ni wauzaji wa Truck za HOWO Kwa Bei Nzuri Pia tunazo SPARE PARTS ZOTE ZA HOWO, Pia tuna mafundi waliobobea katika utengenezaji wa truck za HOWO. Karibu sana 📍Tupo Kurasini opposite na Chuo Cha Diplomasia ☎️0748 270 719
Habari, Karibu chianteng limited ni wauzaji wa Truck za HOWO Kwa Bei Nzuri Pia tunazo SPARE PARTS ZOTE ZA HOWO, Pia tuna mafundi waliobobea katika utengenezaji wa truck za HOWO. Karibu sana 📍Tupo Kurasini opposite na Chuo Cha Diplomasia ☎️0748 270 719
Dr hyperkid JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 12,679 Reaction score 25,646 Jun 23, 2024 #24 Lily Tony said: Kwa jina zinaitwa parachichi Aina ya HASS Zina sifa ya pekee Sana kulinganisha na parachichi nyingine zote. Click to expand... hayo ndio yana punje(tetere) kubwa, nyama kidogo hata nusu nchi haifiki
Lily Tony said: Kwa jina zinaitwa parachichi Aina ya HASS Zina sifa ya pekee Sana kulinganisha na parachichi nyingine zote. Click to expand... hayo ndio yana punje(tetere) kubwa, nyama kidogo hata nusu nchi haifiki