Nauza mashamba/viwanja Kwala

Nauza mashamba/viwanja Kwala

chazi piere

Senior Member
Joined
Jun 12, 2016
Posts
132
Reaction score
72
Nauza mashamba na viwanja kwala
Kwala ipo kijiji cha kwala wilaya ya Kibaha Mkoa wa pwani.Kuna bandari ya inchi kavu,karakana ya mradi wa SGR na kongani ya viwanda 200.Kwala ipo km 15 kutoka morogoro road unaingilia round about ya mizani ya vigwaza.Viwanja/mashamba
vipo vilivyopimwa na ambavyo havijapimwa ila upimaji unaendelea ni maelewano tu. Maeneo yapo yalio karibu kabisa na bandari yani kama km2.5 kutoka ilipo bandari na reli ya SGR.Mengine yapo kijijini kabisa kwala kama km 3 kutoka bandarini.
Pia mengine yapo opposite na karakana ya mradi wa SGR na kongani ya viwanda vya wachina (SINO TAN)
Pia kuna mradi mkubwa wa serikali unaitwa Kwala settelite city ukiingia mtandaoni utauona.
Bei ni maelewano,
Maeneo ni yangu mwenyewe mi sio dalali.
Contact 0678804442
 

Attachments

  • Screenshot_20241103_103109_Opera Mini.jpg
    Screenshot_20241103_103109_Opera Mini.jpg
    478.7 KB · Views: 6
  • Screenshot_20241103_103140_Opera Mini.jpg
    Screenshot_20241103_103140_Opera Mini.jpg
    256.2 KB · Views: 5
  • Screenshot_20241103_104724_Opera Mini.jpg
    Screenshot_20241103_104724_Opera Mini.jpg
    155.7 KB · Views: 7
  • Screenshot_20241103_104751_Opera Mini.jpg
    Screenshot_20241103_104751_Opera Mini.jpg
    160.9 KB · Views: 7
  • Screenshot_20241103_105101_Opera Mini.jpg
    Screenshot_20241103_105101_Opera Mini.jpg
    241.4 KB · Views: 5
  • Screenshot_20241103_104908_Opera Mini.jpg
    Screenshot_20241103_104908_Opera Mini.jpg
    154.2 KB · Views: 7
Nauza mashamba na viwanja kwala, vipo vilivyopimwa na ambavyo havijapimwa ila upimaji unaendelea ni maelewano tu.
Bei ni maelewano,
Maeneo ni yangu mwenyewe mi sio dalali.
Contact 0678804442
Kwala ndio wapi, weka full details za location viwanja vilipo ili kupata wateja. Sio kila mtu anapajua kwala

Elezea kwamba kiwanja kipo kitongoji fulani, mtaa fulani, kata fulani, wilaya fulani, mkoa fulani... Kiwanja kinapakana na landmarks zipi mfano kipo mita kadhaa kutoka kando ya mto, stendi ya mabasi, barabara, ziwa, bahari, mgodi, airport, kijijini, mjini... Kiwanja kina ukubwa gani, kipo kwenye Mawe, tambarare, mwinuko, mteremko.
 
Okay maelezo hayatoshi maana sio wote tunatokea kibaha. Pia kwala sio sehemu maarufu! Angesema anauza viwanja maili moja kwa mfano wengi tungerejelea kibaha....

Mkuu nahitaji eneo la kufuga kwala ina umbali gani kutoka maili moja.....
Kuna kama km 89 hivi
 
Bandari kavu ikianza kufanya kazi ndiyo kutachangamka sana. Naona kuna viwanda vichache vimeanza kazi. Hata hivo ni kuzuri maana barabara ni mkeka,maji na umeme vipo pamoja na huduma za kijamii. Kwa mtu anaye angalia mbele kuanzia miaka 3 ni sehemu nzuri ya kuwekeza. Niliona kuna mashamba ya bondeni pia japo mvua ikiwa nyingi maji ya mto Ruvu hufika kwenye mashamba
 
Back
Top Bottom