Plot4Sale Nauza Mashamba ya kilimo na ufugaji Kisarawe, Pwani

Plot4Sale Nauza Mashamba ya kilimo na ufugaji Kisarawe, Pwani

tajiridalali

Member
Joined
Sep 17, 2018
Posts
52
Reaction score
11
Mashamba yanapatikana kata ya mafizi, kijiji cha ving'andi na zipo zaidi ya hekari 300 zilizopimwa, Mashamba haya mazuri kwa kilimo na bei yake kwa kila hekari ni laki nne, 400,000/=

Maji yanapatikana masaa 24 katika mto ruvu na mashamba yamepakana na mto ruvu, Kibali cha kutumia mto ruvu kipo.

Umbali kutokea mlandizi ni KM 83 mpaka shambani kabisa, Barabara ni nzuri mpaka shambani

Wasiliana na mimi upate huduma,

0753236012. Kupiga simu
0753236012. Whatsapp

IMG-20221001-WA0019.jpg
 
Back
Top Bottom