INAUZWA Nauza Mashine ndogo ya kukamua juisi ya miwa (Mashine ya manual)

INAUZWA Nauza Mashine ndogo ya kukamua juisi ya miwa (Mashine ya manual)

Joined
Jun 4, 2015
Posts
38
Reaction score
26
Mashine ya kukamua juisi ya miwa
Mashine ya manual

Bei 550,000/=

Hii mashine unaweza kutumia binafsi kuanzisha biashara ya juisi ya miwa au ukaikodisha kwa mtu mwengine

Sifa za mashine
🔸️uzito ni 34kg
🔸️haitumii umeme
🔸️ukubwa wake 46*36*46
🔸️haitumii umeme yani ni manual
🔸️material yake ni stainless steel ambayo inadumu kwa miaka

Inakamua vizuri na kuchuja juisi iwe safi kwa kunywa hapohapo
Kwa maelezo zaidi inaweza kuwasiliana na mimi:
Simu 0754385573 au whatsapp 0758741474

2144890570.png
-662932115.png
997988581.png
 
Mashine ya kukamua juisi ya miwa
Mashine ya manual

Bei 550,000/=

Hii mashine unaweza kutumia binafsi kuanzisha biashara ya juisi ya miwa au ukaikodisha kwa mtu mwengine

Sifa za mashine
[emoji842]️uzito ni 34kg
[emoji842]️haitumii umeme
[emoji842]️ukubwa wake 46*36*46
[emoji842]️haitumii umeme yani ni manual
[emoji842]️material yake ni stainless steel ambayo inadumu kwa miaka

Inakamua vizuri na kuchuja juisi iwe safi kwa kunywa hapohapo
Kwa maelezo zaidi inaweza kuwasiliana na mimi:
Simu 0754385573 au whatsapp 0758741474

View attachment 2468183View attachment 2468184View attachment 2468187
Kwahiyo hapo mtaji ni nguvu zako si ndio??
 
Mashine ni nzuri sana mkuu yaani ni nzuri sana kwa kijana mwenye wazo la kujiajiri auze juice ya miwa eneo lenye watu. Hii mashine kwa siku hukosi 10,000 mpaka 20,000 eneo la watu kama kikombe utauza 1000.....e.g
 
Back
Top Bottom