Mashine ya kukamua juisi ya miwa
Mashine ya manual
Bei 550,000/=
Hii mashine unaweza kutumia binafsi kuanzisha biashara ya juisi ya miwa au ukaikodisha kwa mtu mwengine
Sifa za mashine
[emoji842]️uzito ni 34kg
[emoji842]️haitumii umeme
[emoji842]️ukubwa wake 46*36*46
[emoji842]️haitumii umeme yani ni manual
[emoji842]️material yake ni stainless steel ambayo inadumu kwa miaka
Inakamua vizuri na kuchuja juisi iwe safi kwa kunywa hapohapo
Kwa maelezo zaidi inaweza kuwasiliana na mimi:
Simu 0754385573 au whatsapp 0758741474
View attachment 2468183View attachment 2468184View attachment 2468187