Wakuu habari zenu.
Nauza mashine ya chostic zile za kulamba (za vijiti) kama za Azam.
Mashine bei ni Million 1, vikopo vyake ni 270 kila kimoja. Inagandisha chostic 80 ndani ya dakika 20.
Pia nauza freezer la kioo (heavy duty), bei laki 7. na madeli nauza 65,000 kila moja na yako madeli manne.
Nipigie tuongee: 0769630209