Dodoma Inawalipa vijana hii biashara wewe.Ni swali zuri hili mkuu..,Ni vyema utujulishe sabab ya kuiuza naamin itatushawishi..,au biashara ya juis ya miwa Dodoma haifanyi vizuri
Shida ya usimamizi tu mkuu. Nimeona inahitaji close supervision na mimi majukumu yangu yananibana sana.
Hapana mkuu. Ni mkabala na chuo cha Mipango.Hapo ni makole au