INAUZWA Nauza mashine ya kuchomelea (welding)

fazbt

Member
Joined
Nov 27, 2018
Posts
9
Reaction score
6
Habari wana JF

Ninayo mashine ya kuchomelea vyuma (Welding mashine) naiuza 150,000/=.

Nipo Mtoni kwa Azizi Ali, na mashime ipo Mbezi ya Tegeta Dar es salaam.

Nipigie 0719 785 546


Sent from my TECNO S1 using JamiiForums mobile app
 
Ahsante Hazchem plate.

Hii mashine ni ya kusuka, sio ya dukani. Pia ni ya single phase, sio three phase. Na ina njia tano ambazo ni E (Earth), 80A, 190A, 250A na 300A.


Sent from my TECNO S1 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu zangu wana JF mashine hiyo bado ipo, inawezekana huu ndo muda wako wa kupata mashine nzuri, na kwa bei ya bahati.
 
pmoses95, niliinunua kipindi najifunza welding, lakini sikuendelea na mafunzo hayo. niliachia njiani. naiuza kwakua sina plani nayo yoyote kwa sasa!
 
huwa zinakuaga na matatizo gani hizo mashine mkuu?
 
Yes bro haipunguiii n huna vifaa vingine Kama grenda ivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…