AL ADAWY INDUSTRIES
New Member
- Oct 13, 2018
- 4
- 3
weka mawasiliano mkuu, nikikuletea mteja kamisheni shs ngapi?Ninauza mashine ya kusaga, kukoboa pamoja na diesel engine yake bei milion 2.5 negotiatable...mashine zipo Mwanza mkolani View attachment 999304View attachment 999305View attachment 999306View attachment 999310View attachment 999312
Sent using Jamii Forums mobile app
Lengo la kuuza ni kuongeza hela na kubadilisha mfumo wa biashara.kama unavyoona mashine hiyo ni proposed kwa vijijini mahala pasipokuwa na umeme. Sisi tunahitaji mashine mpya za kisasa kutokana na mazingira tulipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu changamoto kiongozi nafikiri unafaham hakuna biashara isiyokuwa na changamoto za hapa na pale, kwa upande wangu changamoto ninazopitia ni upatikanaji wa nafaka(mahindi/mpunga) eneo nililopo sio kijijini na hakuna wakulima.sasa inanilazimu niagize kutoka vijijini cost inakuwa kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app