INAUZWA Nauza mashine ya kutengeneza lambalamba

Usimamizi.
Vijana wanahitaji niwepo.
Mimi ratiba imebana.
Ukiwaacha wenyewe kunageuka uwanja wa vita.
Zimekaa zaidi ya mwaka hazifanyi kazi heri nizisogeze tu
Sii ungeniajiri mie tuu, maana hizi nazo sii sukari za warembo ama?
 
Reactions: amu
Watt ngapi hii?
😁😁😁😁😁 yaani hadi leo sijauza.
Nafikiri ni mvivu kupost kutafuta wateja.
Watt hata sijui ngapi ila tunatumia umeme wa kawaida, motor ni hp 1.5
 
Halafu nilipost moja, hizi mashine ziko 2.

Ni kuwasha kujaribu na kubeba na kuanza kazi.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] yaani hadi leo sijauza.
Nafikiri ni mvivu kupost kutafuta wateja.
Watt hata sijui ngapi ila tunatumia umeme wa kawaida, motor ni hp 1.5
Chungulia, ukishajua watt ngapi nijuze niine namna ya kufanya ndugu yangu.
 
Makaveli watt za wapi?
Maana kuna kompresa, motor na condenser zote zina watt
Njoo uchukue zote 2 kwa 850,000 ninavunja bei.
Maana zimekaa tu hapa.
Tutawasiliana Bibie, Kuna kakiporo nakamalizia Kisha tutawasiliana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…